chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Duh! Tv zina air timeNimemsikia Kalapina redioni akisema Chidi ameruhusiwa kuondoka sober na jumamosi wataonyesha Kwenye kipindi cha tv siku Chidi alivyoingia na alivyotoka
meneja wa bagamoyo sober house ndio kasema ameondoka bila kupona mkuu, sikiliza hapo kwenye mahojianoacheni kuzusha mambo nyie nyuki, kalapina kapgiwa simu na sud brown and kajibu kuwa mshkaji hajatoroka bali ameondoka kihalali mana siku alizopangiwa zilikua zimeisha, na alienda kuchukuliwa na kina pina,babu tale na wengne wengi na mpka sasa yupo chini ya babu tale.
Nimemsikia Kalapina redioni akisema Chidi ameruhusiwa kuondoka sober na jumamosi wataonyesha Kwenye kipindi cha tv siku Chidi alivyoingia na alivyotoka
Sasa km bunge halionyeshwi....?!Duh! Tv zina air time
acheni kuzusha mambo nyie nyuki, kalapina kapgiwa simu na sud brown and kajibu kuwa mshkaji hajatoroka bali ameondoka kihalali mana siku alizopangiwa zilikua zimeisha, na alienda kuchukuliwa na kina pina,babu tale na wengne wengi na mpka sasa yupo chini ya babu tale.
It seems akina kala pina wanadhoofisha vita dhidi ya madawaSasa km bunge halionyeshwi.....
Bora tuendelee na upuuzi wa kina Kala pina na mateja wote
Hawa watakufa wenyewe JPM anasaka walanguziIt seems akina kala pina wanadhoofisha vita dhidi ya madawa
I hope team ya JPM itawafunga hawa mabange
Yule aliyempa laki 9 ya faint Wakati amekamatwa na ngoja ndiye aliyemchimbia kaburi r. I. ppost ya kipumbavu sana hii
Mkuu hata video huioni??
Grow up you stupid fool... Drugs sio kama show aisee.... afterall Chidi alikamatwa airport akiwa na unga, sielewi kwanini hata anapata huruma zote hizi
Chagua cha kuandika wewe...
Kwenye hiko kipindi cha tv kama wataonyesha jinsi alivyokuwa anaondoka italeta majibu sahihimeneja wa bagamoyo sober house ndio kasema ameondoka bila kupona mkuu, sikiliza hapo kwenye mahojiano
absolutely... na sanda keshamnunuliaYule aliyempa laki 9 ya fine amemchimbia kaburi rip