chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Chid Benz amedaiwa kutoroka sober house baada ya kukaa muda wa mwezi mmoja, watu waliokuwa wanamuangalia wanasema inawezekana alikuwa hajazoea kukaa kufungiwa kila mara ndio maana akaondoka lakini alikuwa hajapona kabisa
wamedai pia alikuwa mkorofi na alikuwa hayupo tayari kusaidiwa
mahojiano kati ya mwandishi wa na meneja wa Bagamoyo sober house haya hapa kuhusu maisha ya jamaa yalivyokuwa
wamedai pia alikuwa mkorofi na alikuwa hayupo tayari kusaidiwa
mahojiano kati ya mwandishi wa na meneja wa Bagamoyo sober house haya hapa kuhusu maisha ya jamaa yalivyokuwa