tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Katika mahaojiano ya mwanamuzi wa HipHop Chid Benz amemeonyesha hali ya kumkumbuka na kumkubali mwanamuziki mwenzake wa zamani Saida Karoli na kuwaomba Ayo tv wmtafute na kufanya nae mahojiano. Hali imeibua hisia za mashabiki wa Saida Karoli baada ya ukimya wa muda mrefu wa msanii huyoo bila kufanya mziki na kutojulikana kipi kinaendelea katika kazi yake ya mzikki.
Soma pia: Kama ingekuwa ni embe; basi Tongolanga na Saida Karoli ni embe za mdondo linapokuja suala la kipaji Cha muziki
Soma pia: Kama ingekuwa ni embe; basi Tongolanga na Saida Karoli ni embe za mdondo linapokuja suala la kipaji Cha muziki