Mbona hata mtoto wa kike huzeeka na kuitwa Mzee [emoji1] [emoji1] .Tofauti ya Wasanii wa Zamani na wa sasa unaanzia kwenye Majina ya Kisanii......
Wasanii wa zamani majina yao yalikuwa ya kiume kweli.... Vijana wa sasa majina yao ya kike kike na uvaaji wa kike kike.
Wasanii wa zamani.
#1. Mr 2 Sugu
#2. Prof. J
#3. Juma Nature
#4. Afande Sele
#5. Balozi
#6. Solo thang
#7. Inspecta Haroun.
#8. Kala Pina.
#9. Mwana FA
#10. Immam Abasi
N.k
Wasanii wa sasa
#1. Ommy Dimpoz
#2. Baraka da prince
#3. Diamond
#4. Harmonize
#5. Sheta
#6. Chin bees
#7. Mr. Flavor.
#8.
Makundi ya zamani
#1. East Coast team
#2. Gangwe Mob
#3. University Corner
#4. Mabaga fresh
#5. Tmk wanaume
#6. Nako 2 Nako
#7.
Tafakari hayo majina
Tafakari hilo jina