Huwez tumia japo ile lugha yetu ya kolomijeAt a mental Hospital,a mad man chased a doctor with a knife until the doctor could run no more...He fell on his knees and said his last prayer,then the mad man gave the doctor the knife saying.."Shika pia wewe Unikimbize"...
Wishing you all the best Chid
Angekuwa kakako ungetamka hayo akili fupi kama jina lako vile sio lazima kuongea kama huna cha kuongea nyamazaTeja anatapa tapa.
Acha kumuhusisha Yesu na vitu vya kijinga.We brother unapenda kuniandama sana lakin hakuna shida YESU NI MWEMA
Many Goal Directed Activities....is he manic????Aman iwe nanyi wapendwa bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Habali kamili
Msanii wa kizazi kipya chidi benz sasa amedai hategemei mzik peke yake bali ameamua kujihusisha na kilimo kaz ambayo anafanya yeye kwa kushilikiana na mama yake
Amedai kwa sasa kilimo ndo kinamuingizia mkwanja mrefu zaid kushinda hata muzik na amedai amechoka kusubili show peke yake
Nipe maon yako kuhusu hilo la mtoto wa ilala
Nawasilisha
LONDON BABY
It is prohibitedHuwez tumia japo ile lugha yetu ya kolomije
Sasa kuna mtu asiye jua huyo jamaa ni teja ambaye kashindikana.Angekuwa kakako ungetamka hayo akili fupi kama jina lako vile sio lazima kuongea kama huna cha kuongea nyamaza
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]At a mental Hospital,a mad man chased a doctor with a knife until the doctor could run no more...He fell on his knees and said his last prayer,then the mad man gave the doctor the knife saying.."Shika pia wewe Unikimbize"...
Wishing you all the best Chid