Chid benz aukacha muzik na kugeukia kilimo

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Habali kamili

Msanii wa kizazi kipya chidi benz sasa amedai hategemei mzik peke yake bali ameamua kujihusisha na kilimo kaz ambayo anafanya yeye kwa kushilikiana na mama yake

Amedai kwa sasa kilimo ndo kinamuingizia mkwanja mrefu zaid kushinda hata muzik na amedai amechoka kusubili show peke yake

Nipe maon yako kuhusu hilo la mtoto wa ilala

Nawasilisha

LONDON BABY
 
Ana wimbo mpya unaitwa Muda kamshirikisha Q Chillah kausikilize.

Leo alikua EA radio kafanya freestyle kwa dakika kumi mfululizo.
 
Good move kama ni kweli, tusubiri kumuona Chidi Tractor sasa lakini kilimo sio kutunga mashairi lazima akaze kweli ili kupata mafanikio.
 
At a mental Hospital,a mad man chased a doctor with a knife until the doctor could run no more...He fell on his knees and said his last prayer,then the mad man gave the doctor the knife saying.."Shika pia wewe Unikimbize"...

Wishing you all the best Chid
Huwez tumia japo ile lugha yetu ya kolomije
 
Ana wimbo mpya unaitwa Muda kamshirikisha Q Chillah kausikilize.

Leo alikua EA radio kafanya freestyle kwa dakika kumi mfululizo.
Yap wimbo mpya anao lakin saiv hategemei zaid music bali kilimo
 
Good move kama ni kweli, tusubiri kumuona Chidi Tractor sasa lakini kilimo sio kutunga mashairi lazima akaze kweli ili kupata mafanikio.
kweli aisee kilimo ni kaz ngumu sana lazima akaze kweli kweli
 
Aman iwe nanyi wapendwa bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Habali kamili

Msanii wa kizazi kipya chidi benz sasa amedai hategemei mzik peke yake bali ameamua kujihusisha na kilimo kaz ambayo anafanya yeye kwa kushilikiana na mama yake

Amedai kwa sasa kilimo ndo kinamuingizia mkwanja mrefu zaid kushinda hata muzik na amedai amechoka kusubili show peke yake

Nipe maon yako kuhusu hilo la mtoto wa ilala

Nawasilisha

LONDON BABY
Many Goal Directed Activities....is he manic????
 
kila la heri..ni vizuri pia, kilimo kinalipa akiwa serious
 
At a mental Hospital,a mad man chased a doctor with a knife until the doctor could run no more...He fell on his knees and said his last prayer,then the mad man gave the doctor the knife saying.."Shika pia wewe Unikimbize"...

Wishing you all the best Chid
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Duhh.....
Nimecheka sana aiseeee
 
Back
Top Bottom