Kuna siku nimemuona,ni mchafu,mdogo kama ka under twelve,kila anayemuona anamsimamisha sijui ndio kizinga chenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpe Muda na tumuombeeItakua vema, kama kaacha kweli kama asemavyo
Nadhan kajifunza vya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Chid alifunika Show Fiesta Kijitnyama nenda Youtube ukamuone mbali ya uteja jamaa anapumzii
Sent using Jamii Forums mobile app
"ujue chid benz ni mteja, na teja ni shoga wa pili kwa hiyo kumpandisha shoga jukwaani ni kulinajisi jukwaa"
Chid alifunika Show Fiesta Kijitnyama nenda Youtube ukamuone mbali ya uteja jamaa anapumzii
Sent using Jamii Forums mobile app
.chid beenz ilikuwa zamani sio sasa hivi
#SayNoToDrugAbuse
Tunao mkumbuka chid benz kwa ngoma kali Hip Hop tukutane hapa.
HipHop standup Forever
Chi chi chi chid Benziiiiiiiii.
Love song yupo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
PAMOJA NA HAYO KASHACHUJA