Chid Benz bado mkali, soon ataachia ngoma kali nyingine bado tunamkubali

Chid Benz bado mkali, soon ataachia ngoma kali nyingine bado tunamkubali

Benz bado mkali tu ni hiyo miunga tu?,ukimshikisha mic hata fasta tu anakupa mistari ya kutosha freestyle,wasanii kibao hiyo hawawezi.
 
kuna watu hawtumii madawa na wanakipato kizuri tu na ni mashoga!!watu kama chid ni wachache sana tanzania na duniani kwa ujumla!ww uliwahi kufikiria chid atakua hai mpaka leo. unajua mangapi amekutana nayo au mangapi yalipangwa juu yake akayashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom