babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Jan 1, 2019 #21 Benz bado mkali tu ni hiyo miunga tu?,ukimshikisha mic hata fasta tu anakupa mistari ya kutosha freestyle,wasanii kibao hiyo hawawezi.
Benz bado mkali tu ni hiyo miunga tu?,ukimshikisha mic hata fasta tu anakupa mistari ya kutosha freestyle,wasanii kibao hiyo hawawezi.
hyunhah Member Joined Jan 25, 2020 Posts 63 Reaction score 63 Jan 29, 2020 #22 chid ana vipaji vingi alivyobarikiwa na muumba,,,,,,,. chid ni chuma kweli. Sent using Jamii Forums mobile app
chid ana vipaji vingi alivyobarikiwa na muumba,,,,,,,. chid ni chuma kweli. Sent using Jamii Forums mobile app
hyunhah Member Joined Jan 25, 2020 Posts 63 Reaction score 63 Jan 29, 2020 #23 usimwite chid shoga kaka aliyoyapitia jamaa ungekua ww cjui ungekuaje ,,hao unaowaona ww wakali wanahofu kubwa na chid akirudi vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
usimwite chid shoga kaka aliyoyapitia jamaa ungekua ww cjui ungekuaje ,,hao unaowaona ww wakali wanahofu kubwa na chid akirudi vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
hyunhah Member Joined Jan 25, 2020 Posts 63 Reaction score 63 Jan 29, 2020 #24 kuna watu hawtumii madawa na wanakipato kizuri tu na ni mashoga!!watu kama chid ni wachache sana tanzania na duniani kwa ujumla!ww uliwahi kufikiria chid atakua hai mpaka leo. unajua mangapi amekutana nayo au mangapi yalipangwa juu yake akayashinda. Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watu hawtumii madawa na wanakipato kizuri tu na ni mashoga!!watu kama chid ni wachache sana tanzania na duniani kwa ujumla!ww uliwahi kufikiria chid atakua hai mpaka leo. unajua mangapi amekutana nayo au mangapi yalipangwa juu yake akayashinda. Sent using Jamii Forums mobile app