Chid Benz hii nini? Madawa au?

Jamani vijana maisha ya town yakiwashinda muwe mnarudi kijijini kulima....mweeeeeh!!!
Ngada itawamaliza ooohooo!
 
Naona kama hii ya kulia alikua jukwaani ana-perform. Sitegemei awe na Poda au Make up wakati kwa style ya Chid ya kurap kwa kutumia nguvu nyingi lazima atatoka jasho.

Pili ukubwa wa macho yake ndio ulivyo, ndio maana hupenda kuvaa miwani

Pengine hiyo ndio sura yake halisi, sio sura ya photo point. Hiyo Picha imekatwa mno, ingeonekana kwa ukubwa wake ungeona hata taa za jukwaani. Pia nguvu ya kurap pamoja na kurukaruka ndio maana wengine wanapanda na taulo dogo!!
upo serious?.au unatania tu....
 
Postzazaidiyawiki sinakumbukumbumkuu chk na mod
 
Hyo picha nzuri kama ckosei ni ktk video ya habari ndo hiyo ya f.a na a.y.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…