okyo
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,003
- 1,507
hukunako shidaaa
aseeh huyo ni bush men wa kwenye gods must be crazy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hukunako shidaaa
Naona kama hii ya kulia alikua jukwaani ana-perform. Sitegemei awe na Poda au Make up wakati kwa style ya Chid ya kurap kwa kutumia nguvu nyingi lazima atatoka jasho.
Pili ukubwa wa macho yake ndio ulivyo, ndio maana hupenda kuvaa miwani
upo serious?.au unatania tu....Pengine hiyo ndio sura yake halisi, sio sura ya photo point. Hiyo Picha imekatwa mno, ingeonekana kwa ukubwa wake ungeona hata taa za jukwaani. Pia nguvu ya kurap pamoja na kurukaruka ndio maana wengine wanapanda na taulo dogo!!
Okyo mrnice huypoo
upo serious?.au unatania tu....
Postzazaidiyawiki sinakumbukumbumkuu chk na mod
Hatawewekamahunasmartphonevingineunamalizakimoyomoyopdidy umeandika nini hapa...
Hatawewekamahunasmartphonevingineunamalizakimoyomoyo
ha ha ha sijui utakuwa handsome sijui utakuwa unafanana na mwandiko wako lol..
Postzazaidiyawiki sinakumbukumbumkuu chk na mod
hizi picha jamani mmh kama nilie vile...poor vijana sie kazi tunayo
jaman huyo ni mtu mmoja ama????????