A AZUSA STREET JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 2,007 Reaction score 1,897 Feb 26, 2015 #1 Nilikuwa kisutu leo asubuhi, nikakutana waandishi kibao kumbe kuna kesi ya chid benz yule dogo teja. aisee ameisha linaonekana teja kabisa. hakimu kamhukumu kulipa faini laki tisa au jela sijui miaka mingapi.
Nilikuwa kisutu leo asubuhi, nikakutana waandishi kibao kumbe kuna kesi ya chid benz yule dogo teja. aisee ameisha linaonekana teja kabisa. hakimu kamhukumu kulipa faini laki tisa au jela sijui miaka mingapi.
A Andrew wamalwa Member Joined Mar 31, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Feb 26, 2015 #2 Wa! yan jamaa wangu kahukumiwa?"lait ungejua nakupenda,moyoni mi sononeka....."
K kachero orignal Senior Member Joined Jan 15, 2015 Posts 101 Reaction score 33 Feb 26, 2015 #3 Mwambien aache powder ili mambo ya 2007 tuyapate coz tunayamic sana jamaa anajua sana sema haya maunga yashamumaliza
Mwambien aache powder ili mambo ya 2007 tuyapate coz tunayamic sana jamaa anajua sana sema haya maunga yashamumaliza