AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
Nilikuwa kisutu leo asubuhi, nikakutana waandishi kibao kumbe kuna kesi ya chid benz yule dogo teja. aisee ameisha linaonekana teja kabisa. hakimu kamhukumu kulipa faini laki tisa au jela sijui miaka mingapi.