Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Muonekano wake kama avatarAangaliwe vizuri sasa. Akiyagusa tena atarudi kule kule katika mwonekano wake ule kama alien. Mungu Azidi kumwongoza na kuimarisha will power yake...
Labda wananufaika nae mkuuMadawa ya kulevya huponi haraka hivyo
soon utasikia karudia
sijui watu wana haraka ya nini ya kumtangaza mtu kapona
Hawa wanaomsaidia nao wanafiki,Wapuuzi na watafuta Kiki.
Hivi Chid hawezi kuishi maisha mengine nje ya muziki?
Kama kweli wameamua kumsaida kuna haja gani ya kukimbilia aende studio akafanye nyimbo?!
Hao majamaa hawama lengo la kumsaidia zaidi ya kutaka kumtumia na kujipatia Kiki mjini.