Miss u boss wngMadawa ya kulevya huponi haraka hivyo
soon utasikia karudia
sijui watu wana haraka ya nini ya kumtangaza mtu kapona
Msanii wa kizazi kipya mwenye rekodi ya kupatwa na misuko suko ya madwa ya kulevya amepata nafuu na sasa ameingia studio kutoa ngoma aliyomshirikisha Mr Blue na Matonya kabla ya kuumwa, na sasa atafanya ngoma nyingine hayo yamesemwa na Rash Don
umesema kweli,by the way huyu mshkaji ana hip hop yake yani iko safi,kusema kweli asingefanya usengerema Nay angekua analima kwao huko,hata darasa sijui angeimba wapi,kuna siku nilipiga beat zake tu mfululizo mahali watu walisimama,mwisho wanauliz huyu mnymwezi gani nikaapa picha yuko haire walichokaWatu ambao wameamua kumsaidia Chid hawako sawa kabisa ivi kuna sababu gani ya kumrudisha kwa haraka then mnapeleka studio afanye joint hata kabla hajajifanyia tathimini ya kina yeye mwenyewe huo muziki ndio chanzo cha mabalaa yake,utasikia kesho ana show Kinondoni hapo ndipo ndugu zake katika unga hawatokubali apite bila kuonja duh uyu jamaa wanaomsaidia ndio watakao mpoteza.
Ni tofauti kabisa na kutibu malaria ama kipindupinduMadawa ya kulevya huponi haraka hivyo
soon utasikia karudia
sijui watu wana haraka ya nini ya kumtangaza mtu kapona