Chid benz katoboa pua(picha)..

Hee mtoto si riziki huyu anapakuliwa tope
 
kuelekea wap.?kwa cameroun au.?
 
Wabongo bana wana chuki za kijanga mbona 2pac alitobowa amkupiga kelele.Mx
 
AKAHAA!!!! WALA HAJAPENDEZA IGA IGA HUYU NAE NA HIYO MIGLASS NDO UTASEMA KABISA SI RIZKI:thinking:
 
waungwana tusiishie kumponda tu! nivyema tumshauli kijana wetu huyu jamani wakubwa chukueni nafasi hii kumueleimisha .
 
oya!! acha ujinga wewe ni wakiume plz naomba ushirikishi ubongo wako unapofanya uamuzi wa jambo. au unataka ukameruniwe? Au nenda mombasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…