Chid Benz kwenye mkasi

Ni worst interview kwenye mkasi ikifuatiwa na ya tid.ni mtazamo tu
 
sembe nomaaaa!wauzaji inabidi waanze kunyongwa..,wana2haribia nguvu kazi ye2!
 
da huyu mchizi alikuwa mgumu sana chana sana mashairi lakini sasa naona anaelekea kubaya.....ukiweka kitu cha arusha ukakazia na kitu cha kutoka kule colombia kwa pablo escoba alafu ukaingezea na element za ushoga ushoga ni noma
 
unga unaleta sana ukaribu..chiddy benz na TID wamekuwa wana sana kwaajili ya ngada!ila kwa huyu pimbi chiddy benz acha unga umpoteze ana sifa sana za kipimbi
 
unga unaleta sana ukaribu..chiddy benz na TID wamekuwa wana sana kwaajili ya ngada!ila kwa huyu pimbi chiddy benz acha unga umpoteze ana sifa sana za kipimbi

Si uliwahi kutamka humu kuwa mmemuandalia dozi tid ili aache poda vip ule mpango uliishia wapi muuza sura?
 
da huyu mchizi alikuwa mgumu sana chana sana mashairi lakini sasa naona anaelekea kubaya.....ukiweka kitu cha arusha ukakazia na kitu cha kutoka kule colombia kwa pablo escoba alafu ukaingezea na element za ushoga ushoga ni noma

Aelekee mara ngapi,,wana waiga akina pablo lakini wenzao walikua wana stick kwenye rule yao ya DON'T gET higH on UR owN sUpPLY
,,,
 
Saalama chin ya Ay anafanya mema sana,chid alikuwa high sana ndo maana akaagiziwa soda ili kupunguza stim ya ngada,na hajaongea chochote cha maana hapo,tuuuuup.
 
Si uliwahi kutamka humu kuwa mmemuandalia dozi tid ili aache poda vip ule mpango uliishia wapi muuza sura?
Keshakuwa chronic mwanangu!pozi zote zimeisha siku hizi mabatani anaenda kama comedian yaani full kuzingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…