Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Sijamuelewa kabisa huyu jamaa anachoongea hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sembe nomaaaa!wauzaji inabidi waanze kunyongwa..,wana2haribia nguvu kazi ye2!
sembe noma...
Bado anavaa kile kikuku puani?
sio puani tu hadi kiunoni ana shanga pia..
Unamaanisha Al remtullah?Duh..nashindwa ht kuuliza ulijuaje...ingawa nishasikia habari zake na yule mbunifu mhindi mwembamba was Moro
sio puani tu hadi kiunoni ana shanga pia..
Unamaanisha Al remtullah?Duh..nashindwa ht kuuliza ulijuaje...ingawa nishasikia habari zake na yule mbunifu mhindi mwembamba was Moro
sijamuelewa kabisa huyu jamaa anachoongea hapa.
unga unaleta sana ukaribu..chiddy benz na TID wamekuwa wana sana kwaajili ya ngada!ila kwa huyu pimbi chiddy benz acha unga umpoteze ana sifa sana za kipimbi
da huyu mchizi alikuwa mgumu sana chana sana mashairi lakini sasa naona anaelekea kubaya.....ukiweka kitu cha arusha ukakazia na kitu cha kutoka kule colombia kwa pablo escoba alafu ukaingezea na element za ushoga ushoga ni noma
Keshakuwa chronic mwanangu!pozi zote zimeisha siku hizi mabatani anaenda kama comedian yaani full kuzinguaSi uliwahi kutamka humu kuwa mmemuandalia dozi tid ili aache poda vip ule mpango uliishia wapi muuza sura?