Chid benz: Naacha kuvuta unga!

Chid benz: Naacha kuvuta unga!

Aendeleee tu watakaumia ndugu zakeee

Sister ni kweli ila ujuwe kuwa jukumu la haka kajamaa kuacha ubwiaji ni lake yeye na nduguze kwani wewe na mimi tukiongea hawezi kutusikiliza hata iweje, watu wengi sana wamempa ushauri lakini dogo bado anajiona habembei sawasawa. Wakati umefika hawa waimbaji wa karaoke wapigwe dochi na jamii. Ni muda mrefu sana wamekuwa wanaimba kusifia ujinga tu, bangi, ubwiaji unga, mademu, kujirusha, na ujinga mwingi tu hata matusi kwenye nyimbo zao na zinapigwa redioni especially Clouds FM. Sasa watu wanachanganikiwa watu wanapiga mayowe. Mi nasema, wabwie tu.
 
Ndio maana hii biashara imeshamiri nchini, kumbe mateja yapo ya kutosha.!

Mkuu hii biashara wateja wake wako maofisini na wanatembelea magari mazito mazito. Wale unaowaona wewe ni last part ndio inawafikia. Ndio maana biashara inashamiri. Usishangae kuona bosi wako ni mteja wa kina riz na kinje
 
Mkuu Asante kwa kunifungua macho, siku zote nimekua nikijiuliza nani hasa mteja wa hii biashara ya mabilioni kumbe.....!!!!!!
 
I happened to have direct interaction with some at a rehab center, aiseee ndio nikaanza kuamini kwa nini hata mtoto wa mkubwa yumo kwenye supply. Watumiaji wakubwa wana cash ndefu tuu na ni watu wenye ofisi zao na wengine wana biashara zao za maana!!
 
usishangae kuwakuta wengine mjengoni. Unga si kilevi cha maskini, hawa wa barabarani wanakula byproducts tu. Kina whitney walimaliza hela zao kwenye unga. Nasikia mpaka 2m kwa siku kawaida kabisa.
 
Unga waokula hawa artist zetu ni famba tu ndio maana wanaumia!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
BRO ENDELEA TU! KUVUTA PODA NI KWENDA NA WAKATI BRO USIACHE!
 
anaacha kwa kusema tu kuwa anaacha duuuuu wacha tumwombee afanikishe
 
Back
Top Bottom