Chid Benz: Wameniibia pesa zangu, ushahidi ninao

Chid Benz: Wameniibia pesa zangu, ushahidi ninao

Unaitwa nani,chidi soo mtoto wa ilala... Chid benzi=Q-Tip + Method Man + Busty rhymes... Ma nigga" chid benz!
 
Wakuu Kupitia mitandao yake ya kijamii rapa huyo mkongwe wa Bongo Fleva Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro alimaarufu kama Chid Benz ameandika kuwa.
.
Kuna namna Wasanii wanakua chini kifedha but saa zingine kuna mengi. Kuna wengi ambao wanasababisha maisha hayo na wao hawaonekani wala kujulikana zaidi ya wao tena kuchangia uonekane umefeli.

Kuna namna nimefatilia pesa zangu na watu wanaozimiliki na kuziiba. Okke kuna wakati Binadamu unaghafilika ila haimaanishi uchukue vyangu kwa ujinga unauona wewe.

Nimepigania Ncho yangu nimepigania mashabiki wangu na nimewapa Burudani Wananchi wangu wa ndani na Nnje. Bora kuniibia au kunionyesha labda sitokula mimi ila Wanangu watapata na Mama zao? Familia yangu pia hata Mashabiki zangu.

Unaiba zangu za wengine na husaidii chochote zaidi ya kubomoa kuhonga na kula Bata. Then mimi kichaa? Okkay. Online tvs watu wa habari na vyombo vyote kwa faida ya kizazi kijacho namba hii hapa. NATAKA KUONGEA. 0764155608″
.
Credit To Bongo5View attachment 2219414

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ngada hizoo
 
Kipaji bila elimu hilo nalo ni ttzo...mda wa kwenda shule ww unakesha bilicanas na totoz..you must pay!
 
Daaah mwamba sijui kwanini alikula Yale madude😭......
 
Huyu dogo angekua na akili hawa madogo sijui diamond na mayonaise wangemsikia mbali sana.
Kwa bongo mpk sasa hakuna rapa kama Chid.
Sema ndo hivyo tena.
Anaishi alivyochagua
Huyu ana rap Domo anaimba kuna mwanamziki alishawahi sema rap haina biashara
 
Back
Top Bottom