Wakuu Kupitia mitandao yake ya kijamii rapa huyo mkongwe wa Bongo Fleva Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro alimaarufu kama Chid Benz ameandika kuwa.
.
Kuna namna Wasanii wanakua chini kifedha but saa zingine kuna mengi. Kuna wengi ambao wanasababisha maisha hayo na wao hawaonekani wala kujulikana zaidi ya wao tena kuchangia uonekane umefeli.
Kuna namna nimefatilia pesa zangu na watu wanaozimiliki na kuziiba. Okke kuna wakati Binadamu unaghafilika ila haimaanishi uchukue vyangu kwa ujinga unauona wewe.
Nimepigania Ncho yangu nimepigania mashabiki wangu na nimewapa Burudani Wananchi wangu wa ndani na Nnje. Bora kuniibia au kunionyesha labda sitokula mimi ila Wanangu watapata na Mama zao? Familia yangu pia hata Mashabiki zangu.
Unaiba zangu za wengine na husaidii chochote zaidi ya kubomoa kuhonga na kula Bata. Then mimi kichaa? Okkay. Online tvs watu wa habari na vyombo vyote kwa faida ya kizazi kijacho namba hii hapa. NATAKA KUONGEA. 0764155608″
.
Credit To Bongo5
View attachment 2219414
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app