Chiddy Benz amwaga chozi, kisa Diamond

Chiddy Benz amwaga chozi, kisa Diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
RAPA mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva , Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz, amekiri kutoa machozi wakati wa mahojiano redioni baada ya kupatwa na hisia kali , akikumbuka mambo mbalimbali ya maisha.

"Nilikuwa namzungumzia Diamond, alinikumbusha mambo mengi, ni mchapakazi, anajituma na amejipanga, anajua alikotoka na anathamini alipopitia, nikajikuta nimepatwa na ' emotions ' zilizonitoa machozi, " alisema msanii huyo aliyetoa kazi mpya hivi karibuni.

Wimbo huo mpya unaokwenda kwa jina la Mpaka Kuchee, ameufanya baada ya kukaa kimya kwa muda wa mwaka mmoja , kiasi cha kuleta hisia kuwa huenda amekwisha makali yake.

Kibao hicho amewashirikisha wakali wengine, mkongwe AY na msanii aliye juu kwa sasa, Nasibu Abdul ' Diamond '.
 
kwa hiyo akiombwa utumbo ili ndizi ipite atakubali au maana anamsifia mwanaume mwenzake kama nini vile
 
Nae alivyojikondea tu kaanza kusifia watu atasifia mnooo
 
King Kong kashakua mdananda maana anamsifia domo ili maradi awekwe mjini unaangusha La Familia Mwakwiro.
 
Binamu mie nipo miaka mia nane nakuona umerudi unawakilisha kama kawa kama dawa.....big up

Yes, nikikukosa humu kwa kweli najisikia vibaya maana wewe ni kati ya watu mlio ni boost hadi leo nikaitwa warumi maana kuna kipindi nilikuwa natafutaga umaarufu kupitia wewe, hahaah ahahah ahaha nadhan unajua binamu.
 
Last edited by a moderator:

We nomAAAAAAAAAAAA nimecheka balaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nikikumbuka enzi rapu za zamani alikuwa sio mtu wa kumlilia Diamond ama kweli kuishiwa kubaya.
 
Bend, or break...!! He has to decide!
Maskini chidi chuma.
 
We nomAAAAAAAAAAAA nimecheka balaaaaa

Nilikuwa nakazana kum quote mwenyew na mimi nionekane, haahh hahaah watu umaarufu tumeutafuta kwa mengi ahahah, maana nilikuwa na ID kama kumi na kitu, zote zikabuma ila warumi naona ndo kabahatika ana nyota
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nakazana kum quote mwenyew na mimi nionekane, haahh hahaah watu umaarufu tumeutafuta kwa mengi ahahah, maana nilikuwa na ID kama kumi na kitu, zote zikabuma ila warumi naona ndo kabahatika ana nyota

Hayaa banaaaaaa lo ila nimechekaaje,tulikumiss mnoo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom