Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

nashkur kwa kunipa taarifa za kutia moyo na iman kuhusu mama yake kwa 7bu hata mm nlikua naona impossible kumtelekeza mwanaye lakn labda niandke kwamba yawezekana malez au uangalizi toka utoton haukuwa imara lakn nsiandke k2 ambacho cna uhakika nacho so kwa hlo namuachia mama yetu na Mungu wake..pia nampa pole na kumuomba ashare experiences zake za tazo hlo na wamama wengne ili kutoa nafas ya kuwaonya katika kuwalea au uangalizi wa watoto wao yacje kuwakuta hayo..chidy tutaendelea kumuombea kwa Mungu kwa uvumlvu na Imani, lakn bado namshaur kwa nguvu zote kuwa na yy apaze saut asiishie kwny unga na ukorofi bas angalau afanye k2 ambacho ni life changer na sio life looser
 
Hakuna mbwia unga anayeacha ila hupumzika tu
 
masikini chid benz leo umekua wa kuandikwa hivi?. Nilikuona Ilala ulivyo sasa, nikajiuliza, ulijua madhara ya kutumia madawa ya kulevya? inauma sana lakini ndio maisha uliyoyachagua.
Unavuna ulichopanda.
Asiyesikia la mkuu???
Kwanza huyo ana familia yake,why haina mda nae
 
Gharana zote hizo za nini sasa ???
 
bas akamatwe na polisi apelekwe gerezan af baada ya hapo shamban kulima..huku akiipewa adhabu ya kutumia doz la cvyo kifungo kinaongezeka
 
Hujajibu swali langu,hatuangalii u smart tunaangalia madhara,wanatoa damu ili iweje??
 
Hapa tuandike tu lakini ukimuona Chidi benzi utamuonea Huruma anazunguka kwenye ma Bar usiku hasa kinondoni maeneo ya Masai Club na papichulo anaomba kuimba angalau mkono uend kinywani. Binfsi nilimuona Chozi likanidondoka
 
Hapa tuandike tu lakini ukimuona Chidi benzi utamuonea Huruma anazunguka kwenye ma Bar usiku hasa kinondoni maeneo ya Masai Club na papichulo anaomba kuimba angalau mkono uend kinywani. Binfsi nilimuona Chozi likanidondoka
inatia huruma lakn ata mama yake a share experiences zake na jamii ili na wa mama wengne wapate kujua ugum watakaoupata endapo watazembea kuwalea watoto wao kwenye maadili na uangaliz wa hali ya juu hasa watoto wa kiume sisemi kwamba na yy alizembea, no..lakn itasaidia sana, i think so.
 
Hujajibu swali langu,hatuangalii u smart tunaangalia madhara,wanatoa damu ili iweje??
Wanatoa damu kwa sababu inakuwa imechafuka kwa matumizi ya dawa za kulevya hivyo hushauriwa kubadili ama kutoa damu chafu na kuingiziwa damu mpya.
Inategemea na uchumi wako ukoje ila hii ni kwa madon ( watu wenye pesa )

[emoji4] [emoji4] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Na madon nao huathiriwa na ngada,,,
 
So sad na unajuwa hawa wasanii wanaishi maisha sio yao sasa pesa ikikata kidogo stress na chanzo ukweli mziki unashikwa na mafia wa 4 Salam, B. Tale, Mkubwa na clouds sasa usipoenda nao wanafunga milango lazima soko la mziki libadilike kitu kizuri kiende sio power ya watu ndio maana kelele nyingi media lakini husikii mziki bora. Vijana ishini maisha yenu utasikia fulani and Million 4$ kweli uwe na pesa hizo usikae Masaki tuacheni utani.
 
Nitamwaribia Mkuu na siwezi kumtaja ila Wasanii wenzie wanalijua sana hili nililolisema hapa na hata huyo Mtu wanamjua mno. Nasisitiza tena kusema kuwa LAANA huwa haina TIBA na naomba niishie hapa tafadhali.
Hapa kidogo umetushtua maana laana ni kutoka kwa wazazi na kama ni wazazi tujue ili watu wakamuombee wamsamehe maana dawa ya laana ni msamaha wa kweli.
 
Feel sorry kwa Mama yaani kina mama ndio wanateseka na hawezi kumtupa mwanae never wanawake God bless you all. Jamani tusifanye kwa ajili yetu tunawaumiza kina mama wametuzaa kutulea na bado ukubwani tunawatia simanzi na kuwauwa kwa uchungu. Big no
 
Hii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
**** wengine wanaacha mkuu ila kwa muda mrefu sana,kuna mmoja yeye alikuwa na nia kabisa ya kuacha huyo jamaa vijiwe vyake vya kushinda ilikuwa ni kwenye kahawa tu, baada ya hapo ni home na pocket money yake ni buku au jero ya kahawa,hataki izidi hapo
 
Sober house ya ukweli ni mochwari pekee. Ukipelekwa kule hutorudia tena ngada na wote waliopelekwa kule wameacha jumla!! Hizo nyingine ni kupotezeana muda na fedha buree!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…