Chidi Benz asimulia ilivyokuwa hadi kukamatwa na dawa za kulevya Airport

Chidi Benz asimulia ilivyokuwa hadi kukamatwa na dawa za kulevya Airport

Tumuonee huruma sio kumsema vibaya..km angekuwa mwanao au baba yako ungemkashifu?..Huyu msanii apate mshauri mzuri aanze rihab insha allah naamin One day Atapona..

hakuna alie msafi...kuna uteja wavitu vingi kuna wengne humu nimateja wawanawake miteja ya pombe mxxxiu

Mteja hana cha baba wala mtoto. Thubutu kujipendekeza utakiona cha moto.
 
Hahahaaaa wewe subiri tu muda si mrefu litatembea bakuli

yeye tatizo anachukulia simple mama yake ndiyo anayeumia! mijitu mingine sijui ni namna gani lingekuwa ni li bro langu ningelitembezea nakozi
 
Mateja siku zote hawakubali ukweli na usiwape nafasi ya kuongea maana watakupiga fix balaa.
 
yeye tatizo anachukulia simple mama yake ndiyo anayeumia! mijitu mingine sijui ni namna gani lingekuwa ni li bro langu ningelitembezea nakozi

si mpaka umpate.labda awe amelala.yaani mtu akiwa anatumia sijui anakuaaje annajiona kama yuko duniani peke yake.na utampiga nakozi kesho atakushikia kisu.labda useme ningepiga local anesthesia halafu unambebe hadi rehabilitation. center. yaan ni balaa wala ustake kuskia.ña mkichelewa mnampoteza.yaani ni shidaaaaaaa haya madude.tuombe mungu yasijewapata kizazi chetu.
 
et uwa navaag vaag nn natupa kul..haha...tja bana..
 
Ukweli una tabia moja nzuri sana. Haujali mkubwa wala mdogo; haujali adui wala rafiki. kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa

cc; Rashid Makwilo
 
Sasa ameongea nini?Mimi sielewi hata kidogo...
Jamaa nilivyomuona sikujua kama ndie yeye kaisha vibaya mno
Na ungeelewa ningekushangaa!we teja limebambwa live,linafikiria jela unafikiri litakuwa coherent? hauko peke yako wengi hatuelewi kama anajitetea,anakana au anajishitaki.!
 
Nashindwa kumuelewa Chify Noah maana sio Benz tena kuwa, dawa alikuwa anatumia halafu kaacha zamani halafu anavaa shat Mara moja bado akutwe na mzik sijaelewa anieleweshe mtu mwingine ina maana shart zake hazifuliwi!?
 
kuna rapper marekani anaitwa benzino namkubali sana,ghafla nikasikia bongo kuna mvulana anajiita benzino,ghafla akabadilisha akajiita rashid Benz...
 
Back
Top Bottom