Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tumuonee huruma sio kumsema vibaya..km angekuwa mwanao au baba yako ungemkashifu?..Huyu msanii apate mshauri mzuri aanze rihab insha allah naamin One day Atapona..
hakuna alie msafi...kuna uteja wavitu vingi kuna wengne humu nimateja wawanawake miteja ya pombe mxxxiu
Chid Benz Rashid Makwiro anavaa nguo mara moja.
Chid Benz Rashid Makwiro anavaa nguo mara moja.
mim namtakia maisha marefu maana mambo ya kuanza michango ni ishu tena nyingine
mim namtakia maisha marefu maana mambo ya kuanza michango ni ishu tena nyingine
Hahahaaaa wewe subiri tu muda si mrefu litatembea bakuli
Chidi benzi ana mashati kumi na tano hivi.
He he he he he ...
Wenzetu wapo mbali nguo hairudiwi,unatungua dukani ikichafuka wanatupa
yeye tatizo anachukulia simple mama yake ndiyo anayeumia! mijitu mingine sijui ni namna gani lingekuwa ni li bro langu ningelitembezea nakozi
Na ungeelewa ningekushangaa!we teja limebambwa live,linafikiria jela unafikiri litakuwa coherent? hauko peke yako wengi hatuelewi kama anajitetea,anakana au anajishitaki.!Sasa ameongea nini?Mimi sielewi hata kidogo...
Jamaa nilivyomuona sikujua kama ndie yeye kaisha vibaya mno