Chidi Benz asimulia ilivyokuwa hadi kukamatwa na dawa za kulevya Airport

kasha kuwa chizi uyo mpaka anaenda tania air port basi tena.akanye kwanza kaudebe kidogo uma arufu ulimponza.
 
Hata mtoto wa miaka 2 hadanganywi kirahisi hivyo. Inamaana hilo koti halifuliwagi....
 
Hana adabu. Uongo mkubwa sana huo. Kwanza atashtakiwa tena kwa kushindwa kuongea uongo wake vizuri.
 
HUYU JAMAAA SIKUJUA NIKILAZA + DUAZI KIASI HICHI,YANI UTETEZI GANI WA KIMANGAA HIVYO.YANI HE IS FANKULOO:angry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…