Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anaonekana hapa Channel Ten Tigo Music Express akiwa kaweka kipuri puani!Anakiri kuwa katoboa pua mara mbili kwa sababu mara ya kwanzi iliziba!Jamani mwanaume anatoboa pua na kipuri juu!!
labda alienda pemba
Na waswahili wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao....kutoga pua,mwanaume!
Huyu jamaa anaonekana hapa Channel Ten Tigo Music Express akiwa kaweka kipuri puani!Anakiri kuwa katoboa pua mara mbili kwa sababu mara ya kwanzi iliziba!Jamani mwanaume anatoboa pua na kipuri juu!!
sio kila anayetoga pua au sikio ni shoga huko ni kufikiri kimasaburi
Usishangae unaweza kuja kumkuta yuko bungeni na kawa mbunge