Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Niaje wadau. Hivi majuzi chidi alikuja Na Kali ya mwaka kwa kudai kuwa amefanya wimbo Na tupac. Sasa katika kupekua pekua nikaamini kuwa Huyu jamaa sio bure Ila ni Ganja ndo sinamsumbua. Watanzania tuache kuwaenterntain watu kama chidi kwa kuwapa airtime Kwenye media zetu. Haya sasa huyu ndo tupac mwenyewe aliekuwa anazungumziwa ja chidi
Wako katika ujenzi wa taifa Snitch2020
Wako katika ujenzi wa taifa Snitch2020