Chidi Benz Na tupac wake

Chidi Benz Na tupac wake

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Niaje wadau. Hivi majuzi chidi alikuja Na Kali ya mwaka kwa kudai kuwa amefanya wimbo Na tupac. Sasa katika kupekua pekua nikaamini kuwa Huyu jamaa sio bure Ila ni Ganja ndo sinamsumbua. Watanzania tuache kuwaenterntain watu kama chidi kwa kuwapa airtime Kwenye media zetu. Haya sasa huyu ndo tupac mwenyewe aliekuwa anazungumziwa ja chidi
Wako katika ujenzi wa taifa Snitch2020
 
Umeangalia kipindi cha FNL jana usiku???
 
By the way acha roho mbaya unataka Dimond wako tuu ndo awe entertained?
 
Usiifananishe BANGI na vitu vya kipumbavu
ganjaaaa.jpg
 
Ila umeangalia kipindi cha FNL? Umeona chid anazungumzia nini kuhusu hilo jambo?
 
Hapana sijaangalia. Amesemaje kwani
Amekanusha na amechekaa sana jinsi clip zianavyotembea kwamba ameshachizika. Amesema ile yote ilikua commedy. Ameelezea vng anashangaa watu wanavyomsema.
 
Alikuja kuachia video yake aloshirikiana na Qchief
 
Back
Top Bottom