Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Usiifananishe BANGI na vitu vya kipumbavu
Bora diamond tunalo LA kujifunzaBy the way acha roho mbaya unataka Dimond wako tuu ndo awe entertained?
Hapana sijaangalia. Amesemaje kwaniIla umeangalia kipindi cha FNL? Umeona chid anazungumzia nini kuhusu hilo jambo?
Amekanusha na amechekaa sana jinsi clip zianavyotembea kwamba ameshachizika. Amesema ile yote ilikua commedy. Ameelezea vng anashangaa watu wanavyomsema.Hapana sijaangalia. Amesemaje kwani
Hahahahahahahaa samahan mkuu sitarudiaUsiifananishe BANGI na vitu vya kipumbavu