Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

Chid Benz akiwa stejini akiperform kwenye show ya Harmonize alibamba mashabiki kwa dk chache halafu akasema "napiga hii show kwa laki 3 tu kutoka kwa Rajabu Hassan ,kisha akashuka stejini.

Hii ni kama kumwaibisha mtu sasa alikubali nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
kusema ukweli ni kumwaibisha ? kwani sio kweli ?
 
Back
Top Bottom