Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

Yeye alitaka apewe shilingi ngapi hiyo hiyo ndio saizi yake
 
Chid Benz akiwa stejini akiperform kwenye show ya Harmonize alibamba mashabiki kwa dk chache halafu akasema "napiga hii show kwa laki 3 tu kutoka kwa Rajabu Hassan ,kisha akashuka stejini.

Hii ni kama kumwaibisha mtu sasa alikubali nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
LAKI 3 NYINGI SANA KWENDA KUMUANGALIA MVUTA BANGI AKIPIGA KELELE!!! WANAMZIKI WENGI WA KIBONGO HAWASTAILI KUPEWA HATA LAKI MOJA WAKIWA WANAPERFORM LIVE KWANI KUFANYA SHOW YA LIVE WENGI NI KELELE TU!!!! ZERO ZERO ZERO UTASIKIA PIGA MAKOFI MARA PIGA KELELE!!!! NA HUWA WANAKUWA WAMELEWA AU WAMEKUJA KWA KUCHELEWA UKUMBINI
 
harmonize bana mbona kuna wanamuziki wengi underground wangefanya vizur zaidi ya huyo teja
 
Angebaki home angeiingiza pesa hiyo kwa muda aliofanya kazi? Baada ya kupata pesa hiyo kapiga show gani tena?
Namaanisha chid kashidwa kukitetea kipaji chake anakipajo kikubwa siyo kupewa 30k

Sent from my I phone
 
Laki 3 per day chidi awe na shukurani wakati mwingine
 
Wenzake Msondo wanalipwa laki 4 band nzima.Wanapiga show zaidi ya masaa matatu.
 
Back
Top Bottom