Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mwaka huu nilirudi Tz kikazi mara moja. Nikakutana na mdada ambaye miaka ya 2000 mwishoni kazini nliwahi mtokea. Demu alikuwa ana nyodo kinyama.
Alikuwa anatoka na Mkurugenzi halafu anaendesha Rav 4 ndo zimetoka toka hatari sana. Mimi baxo napanda dala dala. Sasa sikuwa najua ndo nmehamishiwa hiyo ofisi.
Kumchechk mkononi hana pete. Nika mstudy siku moja nikaona nimrushie mistari. Alinitolea mbavuni. Alinicheckiiiiiiii kisha akavuta midomo. "Mi weee ntakupeleka wapi" basi nikainama. Nliumia sana. Akaingia kwenye gari akaondoka. Nikarudi ofisini badala ya kwenda kupanda daladala. Nlichanganyikiwa Zena. Alikuwa mzuri jamani. Hlaafu sikuzoea kupigwa mabut ya mbavu. Nlikuwa najiamini sana kwa mistari. Alinipasua moyo yule shetani acha tu.
Nafikiri alimwambia Mkurugenzi. Maana nlianza kuwa napata wakati mgumu kazini. Sipelekwi semina. Napelekwa safari za kiduanzi ambazo hazilipi per diem zake. Na sehemu choka mbaya. Demu akawa ananinyanyasa kijinsia. Mungu si Athuman Mkurugenzi akahamishwa.
Akaja Mzee mmoja wa Kilokole akawa amependa utendaji wangu akaniteua kitengo flan. Si haba nami nikaanza kunawiri mara napewa na Dereva anisafirishe mara... Mwaka. 2021 kaingia Mama Uraisini. Nikaonwa... Nikawa Mwambata.... Hatari sana. Nazunguka nchi mbalimbali. Yule demu hakuolewa. Alizalishwa na yule Mkurugenzi two kids akatelekezwa. Akazalishwa tena na jamaa mmoja Injinia akamtelekeza.
Nimerudi mwaka huu kutembelea ofisi akanichangamkia sana.. alishaambiwa siku hizi nakwea sana pipa. Na huwa nikirudi siwasahau wana vizawadi kama perfume simu na saa. Yeye Mpe Mruke.
Akaomba namba ya simu. Nikampa. Akaanza kuwa anauliza weekend wapi. Namwambia mitaa ya ushuani tu. Namrushia location live. Akawa anasema oooooh chidy unanitenga unakula peke yako. Namjibu ubusy tu.
Mwishowe ndo akanitumia msg. "Weekend hii Chidy tukutane wapi tunywe nikakupe K maana nmekusubirisha miaka mingi"
Wallah alinitia hasira zilizokuwa zimetuama miaka mingi. Akazitibua nikakumbuka that day ananikataa kwa kuninyali. Angenikataa kistaarabu haina shida k au kipapiro ni chake ana haki kumpa amtakaye lakini si kuninyali kuwa atanipeleka wapi mimi.... Choka mbaya.
Nikamjibu " mimi kouma yake ntaifanya nini? Ntaipeleka wapi"
Akaniambia "una maanisha nini Chidy?" Nilimwambia kama ambavyo miaka ile alikuwa hana pa kunipeleka nami sina pa kuipeleka kouma yake. Akaniambia wanaume huwa hawaweki vitu moyoni yale yalishapita. Nilimjibu sisi wengine tunatunza kila kitu for future use.