SAMAMBILE
Member
- Jul 4, 2012
- 17
- 1
Chief Executive Officer kutoka nchi "X" ambaye ni shoga.Ameingia nchini Tanzania kwa lengo la kuja kuangalia wanafunzi yatima ambao wanasomeshwa na NGO anayoiongoza yeye mwenyewe kama CEO.Mara anaanza kuonyesha tabia yake ya ushoga akiolewa na mtanzania.Jamii ya watanzania tumelijua hilo ila bahati mbaya hatujamkamata live HUYU SHOGA akifanya ushoga wake.Zaidi tu ya ushahidi wa mazingira kutoka kwa ndugu wa mtanzania na watu wengine wanaowaona wakiwa pamoja.Wadau kuna kifungu chochote cha sheria kinachompa nguvu mtu yeyote kufungua kesi mahakamani kulalamikia kitendo hiki cha CEO na Mtanzania wetu?Na ikibidi huyu CEO apigwe marufuku kuja Tanzania?