Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
wewe mbona hausemi chanzo chako cha pesa humu?huyu jamaa vyanzo vya pesa yake ni vipi ?
acha ujinga , kwani mimi maarufu kiasi hicho ?wewe mbona hausemi chanzo chako cha pesa humu?
Biashara, ana malori mengi sana ya mizigohuyu jamaa vyanzo vya pesa yake ni vipi ?
kwahio maarufu ndio akutajie chanzo chake cha helaacha ujinga , kwani mimi maarufu kiasi hicho ?
Mawazo ya kimaskini haya ππ,Hivi mna_uhakika kijana hana history ya kwenda kwa p didi
hapo sawaBiashara, ana malori mengi sana ya mizigo
tulia kilaza wewekwahio maarufu ndio akutajie chanzo chake cha hela
Ok vizuriMawazo ya kimaskini haya ππ,
kilaza niwewe unaetaka kujua wanaume tunapata wapi hela.tulia kilaza wewe