Chief Godlove afanya Home coming festival agawa zawadi na misaada

Chief Godlove afanya Home coming festival agawa zawadi na misaada

Nisha wao kuongea humu kwamba Hawa wanyaki niwatu fresh Sana wakiwa na kitu niwatu ambao akiinuka mmoja jamii inainuka

Kuna siku mnyaki atakuja aishike inchi hii na Maisha ya watanzania yata badilika sana haijalishi itachukua mda gani ila litakuja litokee
Mimi si mnyaki lakini nakuunga mkono,nimeishi na hawa watu ni watu safi sana
 
Back
Top Bottom