GE2025 Chief Godlove: Jina limekatwa ila kama sio leo basi kesho nitafaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi.

Akiongea na Wananchi wa Kyela katika Mji wa Ipinda alikozaliwa, Mwakibete amesema kuwa sababu kubwa zilizomfanya kutia nia ilikuwa ni kuleta maendeleo ya pamoja na kuwafanya Vijana waweze kujikwamua kiuchumi.

Maneno ya hekima sana Chief godlove.. Mungu azidi kuwa naye anajua kuongea na kujishusha ..
 
Mtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi.

Akiongea na Wananchi wa Kyela katika Mji wa Ipinda alikozaliwa, Mwakibete amesema kuwa sababu kubwa zilizomfanya kutia nia ilikuwa ni kuleta maendeleo ya pamoja na kuwafanya Vijana waweze kujikwamua kiuchumi.

Kuna sehemu kama nimesikia John Samia
 
Huyu ndio u-freemason wake unaishia hivyo ukiona anashindwa na wachawi wa mtaani.
 
Ujanja ujanja Tu MTU unaishi
 
Huyu ndio u-freemason wake unaishia hivyo ukiona anashindwa na wachawi wa mtaani.
Ukiwa maskini, hata mawazo lazima yawe ya kimaskini pia.. Moja wapo ulicho kiandika hapa 🙂 🙂
 
Unaweza ukaona hivyo kwasababu ya ujinga wa kutojua dunia hii, lakini polepole tu tutaelewana.
 
Back
Top Bottom