Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kuliko mtu aliesema β..mimi ni mke wenu mkubwa..βAmeongea maneno ya hekima.
Maneno ya hekima sana Chief godlove.. Mungu azidi kuwa naye anajua kuongea na kujishusha ..Mtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi.
Akiongea na Wananchi wa Kyela katika Mji wa Ipinda alikozaliwa, Mwakibete amesema kuwa sababu kubwa zilizomfanya kutia nia ilikuwa ni kuleta maendeleo ya pamoja na kuwafanya Vijana waweze kujikwamua kiuchumi.
Kuna sehemu kama nimesikia John SamiaMtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi.
Akiongea na Wananchi wa Kyela katika Mji wa Ipinda alikozaliwa, Mwakibete amesema kuwa sababu kubwa zilizomfanya kutia nia ilikuwa ni kuleta maendeleo ya pamoja na kuwafanya Vijana waweze kujikwamua kiuchumi.
Huyu ndio u-freemason wake unaishia hivyo ukiona anashindwa na wachawi wa mtaani.Mtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi.
Akiongea na Wananchi wa Kyela katika Mji wa Ipinda alikozaliwa, Mwakibete amesema kuwa sababu kubwa zilizomfanya kutia nia ilikuwa ni kuleta maendeleo ya pamoja na kuwafanya Vijana waweze kujikwamua kiuchumi.
Ujanja ujanja Tu MTU unaishiMtia nia wa Ubunge, Mkurugenzi wa Chief Godlove Foundation na Mwanamitandao Godlove Mwakibete maarufu kama pamoja na jina lake kukatwa, amerudi nyumbani kwao Wilayani Kyela kuwashukuru Wazazi wake walimchukulia fomu pindi alipotia nia ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi.
Akiongea na Wananchi wa Kyela katika Mji wa Ipinda alikozaliwa, Mwakibete amesema kuwa sababu kubwa zilizomfanya kutia nia ilikuwa ni kuleta maendeleo ya pamoja na kuwafanya Vijana waweze kujikwamua kiuchumi.
π€£π€£π€£π€£Ameongea maneno ya hekima.
Ukiwa maskini, hata mawazo lazima yawe ya kimaskini pia.. Moja wapo ulicho kiandika hapa π πHuyu ndio u-freemason wake unaishia hivyo ukiona anashindwa na wachawi wa mtaani.
Unaweza ukaona hivyo kwasababu ya ujinga wa kutojua dunia hii, lakini polepole tu tutaelewana.Ukiwa maskini, hata mawazo lazima yawe ya kimaskini pia.. Moja wapo ulicho kiandika hapa π π
. Tafuta hela kijana, acha taarabu za kipemba...Unaweza ukaona hivyo kwasababu ya ujinga wa kutojua dunia hii, lakini polepole tu tutaelewana.
Ndugai amepagawa yule..ha haaKuliko mtu aliesema β..mimi ni mke wenu mkubwa..β