Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania

Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania.

Wimbo unaitwa "GOD HAS SEEN ME" ni moja Kati ya mkwakuju mkali kwa mwaka huu, kafanya featuring na LORD eyez, unju bin unuk, one six, mawenge na stamina.

Humo ndani wasanii wote wamekanyagia ngoma kubwa kilicho baki promo tu.

Kungekuwa na muendelezo huu basi mziki wa Hiphop utashine tena.
 

Attachments

  • nikkimbishi999_20250619_reel_3658251184968476790_1_3658251184968476790.mp4
    12.9 MB
Chief waonyeshe watoto wadogo ilipo pesa nyingi
 
Back
Top Bottom