Kwa namna gani ? Hizi chuma nazitofautisha na spec zake ambazo Maybach S 580 amnayo ina 4.0L V8 na kutoa 496 horsepower na Maybach S 680 yenye 6.0L V12 na kutoa 621 horsepowerMaybach mlango wa nyuma unafunguka na kioo chake?
Labda aliuziwa kwa 800Tajiri kijana kwenye social media mwenye kujikuza sana Chief Godlove kaumbuka tena baada ya bingwa wa magari used kuonesha gari la Mercedes Maybach analiuza kwa shiling million 40.
Kumbuka gari hilo linalouzwa linafanana kila kitu na maybach ya Chief godlove aliyotudanganya alinunua million 800.
Chief godlove mwenye tabia ya uwongo uwongo kwa kutafuta sifa zembe na za kijinga kujisifia ni tajiri alishawahi kudanganya buti la shilingi elfu 45 analovaa ni alinunua USD 3000.
Aidha wanoko wanathibisha hizo gari zote anazoringia na kunyima watu usingizi siyo zake bali ni ile crown anayotamba ni ya kubeba mbwa wake ndio anayomiliki kihalali.
View attachment 3558621
Source: mimi mkuu wa jopo la wambea JF
adriz de mbusii
ππ ni S zilizopoa mkuu, Myabach ni S series ila ndio ni ile S 580 na S 680, hao wana zinunulia mavazi ya mayabach zile za S 350S Class zilizochangamka.
Muda huo upo Mlimani City Showroom pale, ata wakikuambia hii ina 600 hp huna pa kupima.Kwa namna gani ? Hizi chuma nazitofautisha na spec zake ambazo Maybach S 580 amnayo ina 4.0L V8 na kutoa 496 horsepower na Maybach S 680 yenye 6.0L V12 na kutoa 621 horsepower
Upbadge iwe crime. Watu wa BMW wanaongoza kuweka ///Mππ ni S zilizopoa mkuu, Myabach ni S series ila ndio ni ile S 580 na S 680, hao wana zinunulia mavazi ya mayabach zile za S 350
ππ kwa mnunuzi wa Maybach ambae yupo series hawezi kosa info sahihi za hiyo gari mkuu hadi akaokotwe mlimani city baada bei za S580 zinajulikanaMuda huo upo Mlimani City Showroom pale, ata wakikuambia hii ina 600 hp huna pa kupima.
πππ M za mchongo, kuna kipindi mtu anaamua kuishi ndoto hata kwa kujifariji, maana kununua M performance au Competition kwa kibongo bongo ni mishahara yetu ngumuUpbadge iwe crime. Watu wa BMW wanaongoza kuweka ///M
Nimeona tajiri anauziwa E Class W212 ikiwa na kit za W213.ππ kwa mnunuzi wa Maybach ambae yupo series hawezi kosa info sahihi za hiyo gari mkuu hadi akaokotwe mlimani city baada bei za S580 zinajulikana
Tajiri ambae kakosa exposure huyo, na ndio wengi kinatukuta humu. Na ma agent wanatumia kama advantageNimeona tajiri anauziwa E Class W212 ikiwa na kit za W213.
320 hiyo, cc 1990 4-inline. /M3 πππππ M za mchongo, kuna kipindi mtu anaamua kuishi ndoto hata kwa kujifariji, maana kununua M performance au Competition kwa kibongo bongo ni mishahara yetu ngumu
Wewe tajiri katoka Kahama kapiga jiwe aanze kusubiria Meli itoke Nagoya miezi mitatu?Tajiri ambae kakosa exposure huyo, na ndio wengi kinatukuta humu. Na ma agent wanatumia kama advantage
Uzuri sina gari ila nikitapa pesa nitanunua mustang,nissan nismo,G63 na nitawasomesha watoto wangu hali level za juu ila sitoregemea ajira zao kama hivyo nitakosa pia nitashukuru uwepo wa punzi yenye baraka hapa duniani.Mkuu,
Kwenye saikolojia kuna anxieties nyingi sana. Kuna status anxiety, kuna poverty anxiety.
Kuna watu wamekulia kwenye umasikini kupata gari kwao ni ndoto.
Wakati mimi nilipokuwa na miaka 14 nilisoma kwenye kitabu cha baba yangu kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive : Outsell, Outmanage, Outmotivate, and Outnegotiate Your Competition" cha Harvey B. Mackay.
Kitabu kina mambo mengi sana, yameandkwa kifupifupi na kirahisi kusoma, hata mimi nikaweza kupata vitu.
Kitu kimoja alichoandika ni kwamba, nunua nyumba za bei kubwa na magari ya bei ndogo. Kwa sababu magari yanashuka thamani na real estate inapanda thamani.
Sasa kama ushaondoa ulimbukeni wa kupanda mabenzi na ma Range Rovr tangu utotoni, hata ukinunua ukubwani unanunua kwa kupata usafiri wenye standrd fulani tu, si kwa poverty anxiety na status anxiety ya kujionesha kwa watu.
Wabongo wengi wapo katika status anxiety na poverty anxiety ya kununua magari kwa kujionesha.
anaangiza kwa ndege inatua chap mkuuWewe tajiri katoka Kahama kapiga jiwe aanze kusubiria Meli itoke Nagoya miezi mitatu?
ππ Mtu anakuwa anajisikia kama yupo kwenye M yenyewe, ila hizi ndoto acha tu. Hii pia watu wa Benz nao wahanga unakuta C180 wanaita AMG320 hiyo, cc 1990 4-inline. /M3 ππView attachment 3602796
4sure. Watoto wasome IST, chuma G63Uzuri sina gari ila nikitapa pesa nitanunua mustang,nissan nismo,G63 na nitawasomesha watoto wangu hali level za juu ila sitoregemea ajira zao kama hivyo nitakosa pia nitashukuru uwepo wa punzi yenye baraka hapa duniani.
Hawawezi. Showoff ni expensive.anaangiza kwa ndege inatua chap mkuuView attachment 3602798View attachment 3602799View attachment 3602800View attachment 3602801View attachment 3602802