Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Tajiri vimbao bado unamuamini....after all huyo jamaa sijawah kuona akila bata labda kama sijui maana ya bata.
 
-Jumamosi Tar 20 Biafra anagawa Mchele na Mitaji kwa kina Mama usikose kwenda.

Anashusha Tani 5 za Mchele kutoka Mbeya Kyela.

Pesa Kidogo Mbao Nyingi.

Kiongozi wa chama na Serikali.

Mtoto mdogo mwenye pesa nyingi.

Ukimuona yeye umeona hela.

Jicho la tatu na nguvu ya pesa.
 
Haha
 
Huyu ni TAPELI tu

Ova
 
Sure ,Jamaa ashajua kucheza na akili za wabongo ,wabongo wanapenda SLOPE aka KITONGA aka Kupata Pesa kwa njia za miujiza na anapita nao MULE MULE...
Yuko na wenzake hata hayo magari sijui majumba wanaazima tu
Nchi hii especially kizazi cha sahvi ni cha wajinga wajingaaa tu

Ova
 
Yuko na wenzake hata hayo magari sijui majumba wanaazima tu
Nchi hii especially kizazi cha sahvi ni cha wajinga wajingaaa tu

Ova

Nilifika kwake kwenye ghorofa analolionyesha ,yupo jirani na nyumba ya mama samia ya Bunju ,ile nyumba si ya kwake ni ya Ndugu yake anafanya kazi Airtel amempa tu akae kuilinda.
 
Bado sijamwelewa chief

Jamaa anatumia akili kubwa sana kupiga pesa ,anawaaminisha kwamba yeye ni tajiri kwa kukodi magari na majumba .ukimuamini tu anakwambia ingia kwenye kundi lake ujpate siri ya utajiri ,kiingilia ni laki then ukishaingia anauza perfume na pete za miujiza ...Perfume anauza milioni moja...😀😀😀
 
Siku zote wajinga ndiyo mtaji

Ova
 
Back
Top Bottom