Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Jamaa anatumia akili kubwa sana kupiga pesa ,anawaaminisha kwamba yeye ni tajiri kwa kukodi magari na majumba .ukimuamini tu anakwambia ingia kwenye kundi lake ujpate siri ya utajiri ,kiingilia ni laki then ukishaingia anauza perfume na pete za miujiza ...Perfume anauza milioni moja...😀😀😀
Kama Yule WA Pugu. Yeye group kujiunga kama sikosei ilikuwa laki 5. Nahisi wanatumia ushirikina pia.
 
Dogo ni mshamba ila pesa anazo pesa haijifichi nyumba anayoishi na mazingira anayotembelea kula Bata ni sehemu ghali sana shida haieleweki anafanya kazi gani post zake inaonesha wazi kuna kitu kinamtesa hayupo vizuri saikolojia yake.
Hahahahahahahaaaa.
 
wabongo halisi mumeonekana.
muna wivu sijapata kuona.

mwenzenu anatumía mitandao kupata hela nyie mnamsema vibaya
uzuri yeye hajali lolote nandio sifa yakiumeni nyie waseng..r endeleeni kujadili nakusema nihela zauchawi

nawewe Loga tuone
 
Ni mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni ! Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo ya kuvutia gari au mikanda ya mabegi alafu anawavimbia watu kuwa anaenda kuwanunulia mbwa wake gari crown kwa ajili ya kuendea beach au kwenda kuoga!

Nilichoka siku ingne kapost vyakula flan vya mbwa ambavyo ni very cheap food kwa mtu kama yeye anaevimba... watu walimchana sana aache ushamba. Kiufupi ni jamiii ya kina kinasa msukuma, yaan ni ile mtu hajawah kuwa exposure na maisha ya mjini alafu yupo huko uswekeni kaziotoe kaamua kuja nazo mjini so kila anachokiona cha thaman anawavimbia watu bila kujua kuna wengine wanakichukulia very cheap sana!

Mwisho: Jamaa hela zake ni za masharti kuwa haruhusiwi kuwa na mahusiano na mwanamke ndo maana sio rahisi kumuona ana hang na wanawake katika mtindo wa kutaka kuchakata mbususu, yaan yeye akichakata mbususu tu kaisha! Sasa utajiri bila kuchakata mbususu ni u mbululazzzz!
Hapo kwenye kukatazwa mbususu hizo ela sitaki. Duh!
 
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.

Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.

View attachment 2655836
Unaowauliza wengi wamechanganyikiwa.
Tegemea kupata majibu ya mzaha.
 
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.

Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.

View attachment 2655836
NI ndusta flan, mumbugila mbugila katoka Mbeya!
 
Hasa sisi ngozi nyeusi akifanikiwa mwingine ni ushirikina na ukifanikiwe wewe ni za halali yaani kuna vikwazo mpaka vya maneno!huyu mshikaji ni mnyaki tatizo ana ulimbukeni mwingi.
Kufanikiwa kwa kuuza perfume za miujiza??
 
Kuna taasisi imefanya utafiti, hakuna mkulima mwenye zaidi ya eka kumi za kokoa Kyela. Sasa hayo mashamba makubwa ya Godlove yako wapi ili tuwasaidie watafiti
Project ya kizimkazi huyo ,anafanya spinning kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom