Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Huo mtandao tupeni namba zaoMfanyabiashara Godlove Mwakibete, maarufu kama Chief Godlove, ameeleza kuwa maisha yake yapo hatarini baada ya kuitwa nchini Nigeria na kupewa onyo la mwisho kufuatia hatua yake ya kutoa siri za mtandao wa kishetani aliodai kujiunga nao hapo awali.
Akifunguka hivi karibuni, Chief Godlove amebainisha kuwa msukosuko huo unatokana na video aliyorekodi hivi karibuni mubashara kupitia mtandao wa TikTok Live, ambapo alionekana akilia kwa majuto na kukiri kufanya makosa makubwa ya kuingia kwenye kundi hilo kwa tamaa za fedha na utajiri wa haraka.
Akieleza chanzo cha maamuzi hayo, Mwakibete ameweka wazi kuwa alikumbana na maisha magumu na umaskini uliopitiliza wakati anakua chini ya malezi ya baba yake ambaye ni mchungaji maisha yaliyotawaliwa na shida za kukosa mahitaji ya msingi kama vile kuazima mboga kwa majirani na nyakati zingine kula ugali kwa chumvi.
Ugumu huo wa maisha ulimfanya ajenge tamaa kubwa ya kusaka mafanikio kwa njia yoyote ile, hali iliyomfikisha kwenye mtandao huo wa siri. Hata hivyo, kutokana na tishio na msukosuko mkubwa anaokabiliana nao sasa hivi kutoka kwa viongozi wa kundi hilo nchini Nigeria, Chief Godlove ametoa wito kwa umma na wanahabari kusitisha mara moja kumhoji au kuendeleza mijadala kuhusu suala hilo ili kulinda usalama na maisha yake.
View attachment 3677366
Na wewe unaamini kuwa ni kweli ana huo mtandao?ukienda kichwakichwa utaambiwa changia laki 1 ili upewe siri mwisho wa siku akipata watu 10 kwa siku anaishi vizuri mjini na kukodi magari kisha watu wanaamini kweli hela zake zimetokea freemason kumbe ni hela hizohizo mnazomchangia nyinyiHuo mtandao tupeni namba zao
Matapeli wakiishiwa mbinu na kuanza kuporomoka huanza kutafuta visababu mapema vya kujihamiMfanyabiashara Godlove Mwakibete, maarufu kama Chief Godlove, ameeleza kuwa maisha yake yapo hatarini baada ya kuitwa nchini Nigeria na kupewa onyo la mwisho kufuatia hatua yake ya kutoa siri za mtandao wa kishetani aliodai kujiunga nao hapo awali.
Akifunguka hivi karibuni, Chief Godlove amebainisha kuwa msukosuko huo unatokana na video aliyorekodi hivi karibuni mubashara kupitia mtandao wa TikTok Live, ambapo alionekana akilia kwa majuto na kukiri kufanya makosa makubwa ya kuingia kwenye kundi hilo kwa tamaa za fedha na utajiri wa haraka.
Akieleza chanzo cha maamuzi hayo, Mwakibete ameweka wazi kuwa alikumbana na maisha magumu na umaskini uliopitiliza wakati anakua chini ya malezi ya baba yake ambaye ni mchungaji maisha yaliyotawaliwa na shida za kukosa mahitaji ya msingi kama vile kuazima mboga kwa majirani na nyakati zingine kula ugali kwa chumvi.
Ugumu huo wa maisha ulimfanya ajenge tamaa kubwa ya kusaka mafanikio kwa njia yoyote ile, hali iliyomfikisha kwenye mtandao huo wa siri. Hata hivyo, kutokana na tishio na msukosuko mkubwa anaokabiliana nao sasa hivi kutoka kwa viongozi wa kundi hilo nchini Nigeria, Chief Godlove ametoa wito kwa umma na wanahabari kusitisha mara moja kumhoji au kuendeleza mijadala kuhusu suala hilo ili kulinda usalama na maisha yake.
View attachment 3677366
Hahaha ndio maana nine wachallenge kama huo mtandao upo watupe connectiona😅Na wewe unaamini kuwa ni kweli ana huo mtandao?ukienda kichwakichwa utaambiwa changia laki 1 ili upewe siri mwisho wa siku akipata watu 10 kwa siku anaishi vizuri mjini na kukodi magari kisha watu wanaamini kweli hela zake zimetokea freemason kumbe ni hela hizohizo mnazomchangia nyinyi
Mwee kumbe aligombea?Dogo anatamaa ya hela balaa alienda kugombea ubunge madarali wa siasa kama kawaida yao wakapita na mpunga baada ya kutoka kyela na kupoteza hela ndio kelele zikaanza..
Huu utapeli gani unaofanyika kwa kiasi kubwa hivi mpaka mtu kumiliki Mali za mabilioni HALAFU hakamatwi Mimi naamini haya mambo ya Hela za manyoka yapoNa wewe unaamini kuwa ni kweli ana huo mtandao?ukienda kichwakichwa utaambiwa changia laki 1 ili upewe siri mwisho wa siku akipata watu 10 kwa siku anaishi vizuri mjini na kukodi magari kisha watu wanaamini kweli hela zake zimetokea freemason kumbe ni hela hizohizo mnazomchangia nyinyi
Sijafanikisha hata moja kazini ni mtumishi mzembeImebaki miezi michache tuuu kuufunga mwaka 2026. je malengo yako ulojiwekea kwa 2026 umefanikisha kwa kiasi gani?
Ndiyo.Imebaki miezi michache tuuu kuufunga mwaka 2026. je malengo yako ulojiwekea kwa 2026 umefanikisha kwa kiasi gani?
Hapana mkuu.Huu utapeli gani unaofanyika kwa kiasi kubwa hivi mpaka mtu kumiliki Mali za mabilioni HALAFU hakamatwi Mimi naamini haya mambo ya Hela za manyoka yapo