Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri.
Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake, kutokana na mwenendo wake, kuwa hakika atalamba sakafu.
Kati ya wapambe wake wakubwa alikuwa ni Cipuriani Msiba.
Msiba masikini hata alikotokea haijulikani, hakuwemo katika chipukizi, au vijana shupavu wa UVCCM, au hata kupata ridhaa ya wananchi wa jimbo lolote nchini.
Yeye aliajiriwa kama mpiga debe, mvua au jua, wa Chief.
Na kazi ya kupiga debe kichizi, Cipuriani aliiweza kwelikweli.
Masikini Msiba alikuwa si msomi sana , na hakuwa na akili za kawaida za kumsaidi kujua kuwa Dola lina mikono mingi tofauti, na Dola hilo ni la watu.
Watu ambao wamelitumikia hilo Dola maisha yao yote, na wana siri nyingi na nzito, ila wana vifua, na wamedhamiria kufa na siri hizo.
Naye Chief, kwa kiasi fulani alijua hilo, lakini akalipuuzia, na uzembe au ukaidi huo ndio ulimpeleka kuzimu.
Inasemekana(toka habari za kwapani) kuwa Memba alipigwa wanted, dead or alive.
Kazi hiyo alipewa Mkuu wa State Research Bureau (SRS).
Huyo mkuu akakataa kabisa kuwa kitaaluma , wao hawafaanyi assasination kwa sababu ambazo hazieleweki, huwezi kumuondoa uhai mtu ambaye hamkubaliani kwa sababu za kisiasa.
Kosa!
Mkuu wa SRS akaondolewa kwa kashfa na akabinywa mapumb.u hadi akaomba poo.
Akaondolewa na kupewa kazi nje ya Bongo.
Akaingia Mkuu Mpya wa SRS, ambaye kila kukicha machale yakawa yanamcheza!
Memba alizipata habari live, kwani vijana wake ndani ya SRS walimpa nondo zote A-Z.
Memba akapanick akafunga safari moja kwa moja kwa Chief aliyetangulia.
Chief Mtangulizi akasikitika sana lakini akamwambia hata mimi huyu Chief wa sasa ananitafuta roho.
Lakini hili ni zito, mwone Chief Mkuu Mtangulizi.
Kulia na kushoto Memba akaenda kwa Chief Mkuu Mtangulizi, naye aliposikia habari alizoambiwa na Memba alikasirika sana, tena sana.
Akasema namfuata huyu kijana Chief sasa hivi huko Dom
Na kweli akaenda Dom.
Kule Dom Chief alikuwa na vikao vingi vya kichama na serikali, lakini wakakubaliana kukutana na Chief Mkuu Mtangulizi mida ya usiku wa manane.
Kabla hawajaonana Chief akaulizia vijana wake watiifu , kunani hata Chief Mkuu Mtangulizi ananifuata huku Dom bila taarifa ya utangulizi.
Wasaidizi wake wamakwambia, mzee suala la Memba limebuma!
Chief akajiambia kuwa sasa ana ngoma nzito ya kuwa neutralise wote.
Usiku , Chief na Chief Mkuu Mtangulizi, wakaonana na kuongea kwa kirefu, maongezi ambayo hakuna aliyejua yaliisha vipi.
Lakini Chief Mkuu Mtangulizi ikawa ndio mwisho wake, kwani kutoka yale makulaji na vinywaji, alishatendwa!
Hakukaa zaidi ya siku tatu-kwishney!
Chief Mtangulizi na kambi ya Memba wkawa sasakit kimoja, na sasa ikawa vita iko dhahiri na ni wazi kati yao na Chief.
Na wao wakawa kama panzi wanaoruka ruka huku na kule ili wasibakwe na Chief.
Chief alikuwa na vijana wake katika SRS aliowatuma "ku neutralise" watu wote aliowaona maadui zake.
Hilomara nyingi alilifanya bila kumjulisha Mkuu wa SRS.
Mkuu wa SRS akaona isiwe taabu , ni lazima acheze chess vile vile la gemu ambalo analielewa vema.
Akawachukua hao vijana na kuwapeleka kisiri mkoa wa jirani kwa shughuli maalum.
Huko wakutana na misuli minene na wakapotea toka anga za dunia.
Chief alipowaulizia vijana wake wakamfanyie kazi ya "kuneutralise" wanoko wengine, akaambiwa mzee wale vijana covid imewaondoa!
Lahaula alishangaa sana kwa mstuko, na kumbe Chief ni mwoga , akajua mwosha huoshwa, akakimbilia kijijini kwao ili ajipange.
Akajua maadui zake wamejipanga.
Wakati huo Cipuriani Msiba anatukana kulia na kushoto kama hana akili nzuri.
Kwa uhakika ana bweka haswaa!
Bahati yake mbaya akaenda kubweka mlangoni kwa Memba!
Huku wau wanakufa na wengine kubambikwa kesi wakijulikana wako upande upi.
Hili sakata wengi wameumia, halafu sasa Cipuriani anaombewa msamaha.
Msiba katika ubora wake!