Chief hakusamehewa, Sembuse Cyprian Musiba

Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri.
Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake kuwa hakika atalamba sakafu.

Kati ya wapambe wake wakbwa alikuwa ni Cipuriani Msiba.
Msiba masikini hata alkotokea haijulikani, hakuwemo katika chipukizi, au vijana shupavu wa UVCCM, au hata kupata ridhaa ya wananchi wa jimbo lolote nchi.
Yeye aliajiriwa kama mpiga debe mvua au jua wa Chief.
Na kazi ya kupiga debe kichizi, aliiweza kwelikweli.

Masikini Msiba alikuwa si msomi sana , na hakuwa na akili za kawaida za kumsaidi kuwa Dola lina mikono mingi tofauti, na Dola hilo nila watu.
Watu ambao wamelitumikia hilo Dola maisha yao yote, na wana siri nyingi na nzito, ila wana vifua na wamedhamiria kufa na siri hizo.
Naye Chief, kwa kiasi fulani alijua hilo, lakini akalipuuzia, na uzembe au ukaidi huo ndio ulimpeleka kuzimu.

Inasemekana(toka habari za kwapani) kuwa Memba alipigwa wanted, dead or alive.
Kazi hiyo alipewa Mkuu wa State Research Bureau (SRS).
Huyo mkuu akakataa kabisa kuwa kitaaluma , wao hawfaanyi assasination kwa sababu ambazo hazieleweki, huwezi kumuondoa mtu ambaye hamkubaliani kwa sababu za kisiasa.
Kosa!
Mkuu wa SRS akaondolewa kwa kashfa na akabinywa mapumb.u hadi akaomba poo.
Akaondolewa na kupewa kazi nje ya Bongo.
Akaingia Mkuu Mpya wa SRS, ambaye kila kukicha machale yakawa yanamcheza!

Memba alizipata habari live, kwani vijana wake ndani ya SRS walimpa nondo zote A-Z.
Memba akapanick ,safari moja kwa moja kwa Chief aliyetangulia.
Chief Mtangulizi akasikitika sana lakini akamwambia hata mimi huyu Chief wa sasa ananitafuta roho. Lakini hili zito, mwone Chief Mkuu Mtangulizi.
Kulia na kushoto Memba akaenda kwa Chief Mkuu Mtangulizi, naye aliposikia habari alizoambiwa na Memba alikasirika sana, tena sana.
Akasema namfuata huyu kijana Chief sasa hivi huko Dom
Na kweli akaenda Dom.
Kule Dom Chief alikuwa na vikao vingi vya kichama na serikali, lakini wakakubaliana kukutana na Chief Mkuu Mtangulizi mida ya usiku wa manane.
Kabla hawajaonana Chief akaulizia , kunani hata Chief Mkuu Mtangulizi ananifuata huku Dom bila taarifa ya utangulizi.
Wasaidizi wake wamakwambia mzee suala la Memba limebuma!
Chief akajiambia kuwa sasa ana ngoma nzito ya kuwa neutralise wote.

Usiku wakaonana na kuongea kwa kirefu, maongezi ambayo hakuna aliyejua yaliisha vipi.
Lakini Chief Mkuu Mtangulizi ikawa ndio mwisho wake, kwani katoka yale makulaji na vinywaji, alishatendwa!
Hakukaa zaidi ya siku tatu-kwishney!

Chief Mtangulizi na kambi ya Memba sasa ikawa vita iko dhahiri na ni wazi.
Na wao wakawa kama panzi wanaoruka ruka huku na kule ili wasibakwe.

Chief alikuwa na vijana wake katika SRS aliowatuma "ku neutralise" watu wote aliowaona maadui zake
Hilo alilifanya bila kumjulisha Mkuu wa SRS.
Mkuu wa SRS akaona isiwe taabu , ni lazima acheze chess vile vile la gemu ambalo analielewa vema.
Akawachukua hao vijana na kuwapeleka kisiri mkoa wa jirani kwa shughuli maalum.
Huko wakutana na misuli minene na wakapotea toka anga za dunia.
Chief alipowaulizia vijana wake wakamfanyie kazi ya "kuneutralise" wanoko wengine, akaambiwa mzee wale vijana covid imewaondoa!

Lahaula, kumbe Chief ni mwoga , akajua mwosha huoshwa, akakimbilia kijijini kwao ili ajipange.
Akajua maadui zake wamejipanga.

Wakati huo Cipuriani Msiba anatukana kulia na kushoto kama hana akili nzuri.
Kwa uhakika ana bweka haswaa!
Bahati yake mbaya akaenda kubweka mlangoni kwa Memba!

Huku wau wanakufa na wengine kubambikwa kesi wakijulikana wako upande upi.

Hili sakata wengi wameumia, halafu sasa Cipuriani anaombewa msamaha.
Musiba sasa hivi yuko wapi wajameni?
 
Hekaya za Abunuwasi, huyu Membe ni joka la mdimu tu(sauti ya Mudhihir Mudhihir)
 
Daaahh
Mwendazake anaundiwa zengwe kifo cha mmiliki wa Lupaso.

Hizi muvi hizi kha
 
View attachment 2602395
Msiba katika ubora wake!

Aseee
 
Mi nilijua jogoo la shamba lile haliwezi kuwika kwa watoto wa mjini. Ilikuwa ni mambo ya muda tu aonyeshwe watu wanavyojua kucheza chess
 
Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri.
Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake, kutokana na mwenendo wake, kuwa hakika atalamba sakafu.

Kati ya wapambe wake wakubwa alikuwa ni Cipuriani Msiba.
Msiba masikini hata alikotokea haijulikani, hakuwemo katika chipukizi, au vijana shupavu wa UVCCM, au hata kupata ridhaa ya wananchi wa jimbo lolote nchini.
Yeye aliajiriwa kama mpiga debe, mvua au jua, wa Chief.
Na kazi ya kupiga debe kichizi, Cipuriani aliiweza kwelikweli.

Masikini Msiba alikuwa si msomi sana , na hakuwa na akili za kawaida za kumsaidi kujua kuwa Dola lina mikono mingi tofauti, na Dola hilo ni la watu.
Watu ambao wamelitumikia hilo Dola maisha yao yote, na wana siri nyingi na nzito, ila wana vifua, na wamedhamiria kufa na siri hizo.
Naye Chief, kwa kiasi fulani alijua hilo, lakini akalipuuzia, na uzembe au ukaidi huo ndio ulimpeleka kuzimu.

Inasemekana(toka habari za kwapani) kuwa Memba alipigwa wanted, dead or alive.
Kazi hiyo alipewa Mkuu wa State Research Bureau (SRS).
Huyo mkuu akakataa kabisa kuwa kitaaluma , wao hawafaanyi assasination kwa sababu ambazo hazieleweki, huwezi kumuondoa uhai mtu ambaye hamkubaliani kwa sababu za kisiasa.
Kosa!
Mkuu wa SRS akaondolewa kwa kashfa na akabinywa mapumb.u hadi akaomba poo.
Akaondolewa na kupewa kazi nje ya Bongo.
Akaingia Mkuu Mpya wa SRS, ambaye kila kukicha machale yakawa yanamcheza!

Memba alizipata habari live, kwani vijana wake ndani ya SRS walimpa nondo zote A-Z.
Memba akapanick akafunga safari moja kwa moja kwa Chief aliyetangulia.
Chief Mtangulizi akasikitika sana lakini akamwambia hata mimi huyu Chief wa sasa ananitafuta roho.
Lakini hili ni zito, mwone Chief Mkuu Mtangulizi.
Kulia na kushoto Memba akaenda kwa Chief Mkuu Mtangulizi, naye aliposikia habari alizoambiwa na Memba alikasirika sana, tena sana.
Akasema namfuata huyu kijana Chief sasa hivi huko Dom
Na kweli akaenda Dom.
Kule Dom Chief alikuwa na vikao vingi vya kichama na serikali, lakini wakakubaliana kukutana na Chief Mkuu Mtangulizi mida ya usiku wa manane.
Kabla hawajaonana Chief akaulizia vijana wake watiifu , kunani hata Chief Mkuu Mtangulizi ananifuata huku Dom bila taarifa ya utangulizi.
Wasaidizi wake wamakwambia, mzee suala la Memba limebuma!
Chief akajiambia kuwa sasa ana ngoma nzito ya kuwa neutralise wote.

Usiku , Chief na Chief Mkuu Mtangulizi, wakaonana na kuongea kwa kirefu, maongezi ambayo hakuna aliyejua yaliisha vipi.
Lakini Chief Mkuu Mtangulizi ikawa ndio mwisho wake, kwani kutoka yale makulaji na vinywaji, alishatendwa!
Hakukaa zaidi ya siku tatu-kwishney!

Chief Mtangulizi na kambi ya Memba wkawa sasakit kimoja, na sasa ikawa vita iko dhahiri na ni wazi kati yao na Chief.
Na wao wakawa kama panzi wanaoruka ruka huku na kule ili wasibakwe na Chief.

Chief alikuwa na vijana wake katika SRS aliowatuma "ku neutralise" watu wote aliowaona maadui zake.
Hilomara nyingi alilifanya bila kumjulisha Mkuu wa SRS.
Mkuu wa SRS akaona isiwe taabu , ni lazima acheze chess vile vile la gemu ambalo analielewa vema.
Akawachukua hao vijana na kuwapeleka kisiri mkoa wa jirani kwa shughuli maalum.
Huko wakutana na misuli minene na wakapotea toka anga za dunia.
Chief alipowaulizia vijana wake wakamfanyie kazi ya "kuneutralise" wanoko wengine, akaambiwa mzee wale vijana covid imewaondoa!

Lahaula alishangaa sana kwa mstuko, na kumbe Chief ni mwoga , akajua mwosha huoshwa, akakimbilia kijijini kwao ili ajipange.
Akajua maadui zake wamejipanga.

Wakati huo Cipuriani Msiba anatukana kulia na kushoto kama hana akili nzuri.
Kwa uhakika ana bweka haswaa!
Bahati yake mbaya akaenda kubweka mlangoni kwa Memba!

Huku wau wanakufa na wengine kubambikwa kesi wakijulikana wako upande upi.

Hili sakata wengi wameumia, halafu sasa Cipuriani anaombewa msamaha.
View attachment 2602395
Msiba katika ubora wake!
Sijui!
Lakini inaelekea hi stori ilikuwa hsijaisha!
 
Siasa za 2015 hasa kwenye majukwaa ya siasa zilikuwa za hovyo sana na mbaya zaidi watu hawakuona athari zake maana walibebwa na upepo wa kisiasa zaidi pasi kutumia mantiki.

Mwisho kama taifa tunajikuta katika kipindi ambacho tupo njia panda.
 
Athari za mwendazake bado zinarindima.
 
Back
Top Bottom