Chief hakusamehewa, Sembuse Cyprian Musiba

Musiba sasa hivi yuko wapi wajameni?
 
Hekaya za Abunuwasi, huyu Membe ni joka la mdimu tu(sauti ya Mudhihir Mudhihir)
 
Daaahh
Mwendazake anaundiwa zengwe kifo cha mmiliki wa Lupaso.

Hizi muvi hizi kha
 
Aseee
 
Mi nilijua jogoo la shamba lile haliwezi kuwika kwa watoto wa mjini. Ilikuwa ni mambo ya muda tu aonyeshwe watu wanavyojua kucheza chess
 
Sijui!
Lakini inaelekea hi stori ilikuwa hsijaisha!
 
Siasa za 2015 hasa kwenye majukwaa ya siasa zilikuwa za hovyo sana na mbaya zaidi watu hawakuona athari zake maana walibebwa na upepo wa kisiasa zaidi pasi kutumia mantiki.

Mwisho kama taifa tunajikuta katika kipindi ambacho tupo njia panda.
 
Athari za mwendazake bado zinarindima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…