Chief hakusamehewa, Sembuse Cyprian Musiba

Una la kuogezea?,
 
Adhabu kapata huyo aliekufa kizembe kwa kubanwa kifua
Hakuna mtu ,'anakufa kizembe', sote tutakufa siku moja. Kuna siku itakuwa ndio mara yako ya mwisho kuingia JF, utakufa, wewe na wengine wote uwapendao.

BTW deni liko palepale, mali zake zitapigwa mnada tu.
 
Hakuna mtu ,'anakufa kizembe', sote tutakufa siku moja. Kuna siku itakuwa ndio mara yako ya mwisho kuingia JF, utakufa, wewe na wengine wote uwapendao.

BTW deni liko palepale, mali zake zitapigwa mnada tu.
Marehemu kafa na deni lake kama huamini stay tuned,alitaka kupambana na idara yake,kakipata
 
Siasa za 2015 hasa kwenye majukwaa ya siasa zilikuwa za hovyo sana na mbaya zaidi watu hawakuona athari zake maana walibebwa na upepo wa kisiasa zaidi pasi kutumia mantiki.

Mwisho kama taifa tunajikuta katika kipindi ambacho tupo njia panda.
  • Inasemekana matatizo yalianza zama za 'Siasa za Makundi' zilizopelekea mshindi wa 2005.
  • Muda unavyozidi kwenda 'kirusi' kikajivuruga, na kufikia 2015 kukawa na 'kambale' kadhaa bwawani.
  • Siasa za makundi zikawa siasa za 'visasi'. Yawezekana ndio maana 'Mkuu' anataja 2025 tangu 'majuzi'.
  • Mungu ibariki Tanzania
 
Kwa kweli kundi la "Boyz 2 Men" ndio kiini cha haya yote!
 
Ha ha ha !
Sasa hivi tutakuwa na Rapid Support Forces na Sudanese Army!
Mwaona sawa?
  • Mungu asaidie jitihada wapatikane marefa wenye hekima na kuzipatanisha timu ndani ya uwanja huu.
  • Isijetokea timu itakayoshindwa kuamua kufanya 'usajili' kwa rafiki zake au toka 'mashariki au 'magharibi'.
  • Mwaribu inji ni mwananji. Mungu ibariki Tanzania.
 
Sana mkuu, kila mtu anajiuliza tumefikaje hapo?
Nani katufikisha njia hiyo?

Sudan majeshi yanatwangana, watu wanafikiri hili haliwezi kutokea nchini kwetu.
Dalili tunaziona.
 
Kwani chief mwenyewe kwa Sasa yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…