King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia Kwenu JF,
Kuna habari nyingi kuhusu huyu pedejhee kusaidia sana wasanii wa bongo flavor na mambo mengi yanayofanana na hayo,leo kupitia mkasi amekiri kwamba amekaa sana MOMBASA na huku ndio amepata hamasa ya kusaidia wasanii wakiwemo kina matonya,tunda man,shettah etc
"Mimi sio Msomi ila mungu angenijalia usomi nisingekuwa na hela"--Chief Kiumbe.
Kwa hiyo vijana wetu kwisha kazi..
Duuuuh ila sijamuelewa kimuonekano mtoto wa shekhe.....ana kitambi lakin hana afya!!
yaani anakwambia siku hz hachepuki
ila amekaa kipole jamaa
Siku hizi kuishi moshi ni hatari kuliko kuishi MOMBASA
Kwani kuna kipi cha ajabu kuish mombasa.
Domo ligwaride likamshinda akarudisha V8 alifikiri ni one time thing..wengine shetta,hussein machozi kaenda kumla mke wa jamaa mombasa jeba likastuka likamla 071....wabana pua majanga
wapi mboni show?