Chief Kiumbe akiri kwamba amekaa sana Mombasa

Chief Kiumbe akiri kwamba amekaa sana Mombasa

Dah sijui kwanini niliikosa hii show''''

Nakiri kupitia Mkasi huwa nafahamu personalities za celebrities wengi'''''''Just by hearing em talk ukijumlisha na yale maswali exceptional ya @zeruzeruMzee ndio kabisaaa...

Keep it up Mkasi'''

@ECEJAY usimaindi kukuita jina baya, it's jus a boring joke........................swallow it'''

kipndi kizuri kweli kileee
mi nakikubali sana
 
Last edited by a moderator:
Natamani sikumoja nisikie Chief Kiumbe kamfadhili na Kalapina coz naye ameanza kubana pua tuone njemba linavyotoa 0718 kiroho safi
 
Ankethi Mombasa kwa mda mrefu,au ankwenda kujifitha? mwambie asiseme urongo twayajua afanyaoo lakini twamsitiri........

wathakani kwani weweee!!ishisemwa kuwa alipata ishi Mombasa ila sasa yuaishi Daa, wanabongoflava wamaiii!
 
Umofia Kwenu JF,
Kuna habari nyingi kuhusu huyu pedejhee kusaidia sana wasanii wa bongo flavor na mambo mengi yanayofanana na hayo,leo kupitia mkasi amekiri kwamba amekaa sana MOMBASA na huku ndio amepata hamasa ya kusaidia wasanii wakiwemo kina matonya,tunda man,shettah etc

Ndio maana ....
 
Muuza Sura;
wapi mboni show?


Yupo kwa etooo!
 
Siku hizi kuishi moshi ni hatari kuliko kuishi MOMBASA
Wachagga wameanza lini tena hiyo michezo ya Pwani jamani!
 
Huyu jamaa nasikia yupo vizuri kwa kupigana karate kweli jamani pili anapata nini kwa wasanii anapowapatia magari?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyu jamaa nasikia yupo vizuri kwa kupigana karate kweli jamani pili anapata nini kwa wasanii anapowapatia magari?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Yeah jamaa ni senshee wa karate alikuwa na black belt,kuhusu kufaidika ni ukarimu tu wake baada ya kukaa mombasa akaona ni bora aanze kuwasaidia choki alipewa gari,diamond alipewa gari.
 
Back
Top Bottom