Dah sijui kwanini niliikosa hii show''''
Nakiri kupitia Mkasi huwa nafahamu personalities za celebrities wengi'''''''Just by hearing em talk ukijumlisha na yale maswali exceptional ya @zeruzeruMzee ndio kabisaaa...
Keep it up Mkasi'''
@ECEJAY usimaindi kukuita jina baya, it's jus a boring joke........................swallow it'''
Ankethi Mombasa kwa mda mrefu,au ankwenda kujifitha? mwambie asiseme urongo twayajua afanyaoo lakini twamsitiri........
pale club Alberto nilishudia madudu ya hatare! full kutongozwa hadharani!Siku hizi kuishi moshi ni hatari kuliko kuishi MOMBASA
pale club Alberto nilishudia madudu ya hatare! full kutongozwa hadharani!
pale club Alberto nilishudia madudu ya hatare! full kutongozwa hadharani!
Umofia Kwenu JF,
Kuna habari nyingi kuhusu huyu pedejhee kusaidia sana wasanii wa bongo flavor na mambo mengi yanayofanana na hayo,leo kupitia mkasi amekiri kwamba amekaa sana MOMBASA na huku ndio amepata hamasa ya kusaidia wasanii wakiwemo kina matonya,tunda man,shettah etc
haujui mambo ya mombasa wewe....Kwani kuna kipi cha ajabu kuish mombasa.
Wachagga wameanza lini tena hiyo michezo ya Pwani jamani!Siku hizi kuishi moshi ni hatari kuliko kuishi MOMBASA
Siku hizi kuishi moshi ni hatari kuliko kuishi MOMBASA
Huyu jamaa nasikia yupo vizuri kwa kupigana karate kweli jamani pili anapata nini kwa wasanii anapowapatia magari?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums